KUHUSU SISI

Karibu kwenye blogu inayokuleta ulimwengu wa ubunifu wa kisasa na maarifa ya kiuhandisi kwa njia rahisi na ya kuvutia.
Hapa tunachanganya taaluma mbili muhimu:
Graphics & Motion Design – Tunashirikisha kazi za ubunifu kama vile logo design, posters, animation, company profiles na maudhui mengine ya kidijitali yanayobeba hadithi za chapa (brand) mbalimbali.
Mineral Processing & Metallurgy Tips – Tunashirikisha maarifa ya msingi na ya kiufundi kuhusu uchenjuaji wa madini, changamoto za viwandani, pamoja na mbinu bora zinazotumika katika sekta ya madini.

DHAMIRA YETU 
kushirikisha maarifa, kuhamasisha ubunifu na kusaidia wanafunzi, wataalamu na wajasiriamali kufikia viwango vya juu katika kazi zao.

Karibu sana utembelee, ujifunze na uinuke nasi.!

Rummy Graphics Team.